NAIBU WAZIRI WA NISHATI AZINDUA MRADI WA UMEME JUA KISIWA CHA BEZI MKOANI MWANZA
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mradi wa kufunga mifumo ya umeme jua maeneo ya visiwani kwa bei ya ruzuku. Uzinduzi huo umefanyika katika Kisiwa cha Bezi, Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza. Naibu Waziri Makamba ameambatana na viongozi mbalimbali wa Serikali.
Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba (wa pili kushoto) akiweka jiwe la msingi la uzinduzi wa mradi wa kufunga mifumo ya umeme jua maeneo ya visiwani kwa bei ya ruzuku. Uzinduzi huo umefanyika katika Kisiwa cha Bezi, Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza. Naibu Waziri Makamba ameambatana na viongozi mbalimbali wa Serikali.
Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba akizungunza kwenye hafla ya uzinduzi wa mradi wa kufunga mifumo ya umeme jua maeneo ya visiwani kwa bei ya ruzuku katika Kisiwa cha Bezi, Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza.
Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba akizungunza kwenye hafla ya uzinduzi wa mradi wa kufunga mifumo ya umeme jua maeneo ya visiwani kwa bei ya ruzuku.
Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, Amir Mkalipa (kulia), akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda (hayuko pichani), kwenye hafla ya uzinduzi wa mradi wa kufunga mifumo ya umeme jua maeneo ya visiwani kwa bei ya ruzuku iliyofanyika katika Kisiwa cha Bezi, Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza.
Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Balozi Meja Jenerali (mstaafu) Jacob Kingu akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa mradi wa kufunga mifumo ya umeme jua maeneo ya visiwani kwa bei ya ruzuku iliyofanyika katika Kisiwa cha Bezi, Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza.
Kaimu Mkurugenzi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Jones Olutu akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa mradi wa kufunga mifumo ya umeme jua maeneo ya visiwani kwa bei ya ruzuku iliyofanyika katika Kisiwa cha Bezi, Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza.
Mwakilishi wa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Edson Gabo akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa mradi wa kufunga mifumo ya umeme jua maeneo ya visiwani kwa bei ya ruzuku iliyofanyika katika Kisiwa cha Bezi, Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza.
Mkurugenzi wa Teknolojia za Nishati Jadidifu na Mbadala, Mhandisi Andrea Mwijage akielezea utekelezaji wa mradi wa kufunga mifumo ya umeme jua maeneo ya visiwani kwa bei ya ruzuku katika Kisiwa cha Bezi, Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza.
Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba (wa tatu kushoto), akikabidhi mitambo ya nishati ya umeme jua kwa wakati wa Kisiwa cha Bezi, Ilemela mkoani Mwanza.
Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba (wa tatu kushoto), akikabidhi mitambo ya nishati ya umeme jua kwa wakati wa Kisiwa cha Bezi, Ilemela mkoani Mwanza.
Wananchi wakifuatilia hafla ya uzinduzi wa mradi wa kufunga mifumo ya umeme jua maeneo ya visiwani kwa bei ya ruzuku iliyofanyika katika Kisiwa cha Bezi, Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza.
Wananchi wakifuatilia uzinduzi wa mradi wa kufunga mifumo ya umeme jua maeneo ya visiwani kwa bei ya ruzuku iliyofanyika katika Kisiwa cha Bezi, Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba.
Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba (katikati) akiwasili katika Kisiwa cha Bezi, Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, akiwa ameongozana na viongozi mbalimbali mkoani Mwanza.















No comments: