LIVE STREAM ADS

Header Ads

JE WEWE NI MWANDISHI WA HABARI? JIUNGE NA PIJ FELLOWSHIP YA MIEZI 9 SASA!

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com

   


Je, wewe ni mwandishi wa habari unayetaka kukuza uwezo wako katika uandishi wa habari za maslahi kwa umma (Public Interest Journalism – PIJ)?

Usikose fursa hii adhimu! Jisajili sasa kwa ajili ya Fellowship ya miezi tisa inayolenga kuwawezesha waandishi wa habari kuzalisha maudhui yenye tija kwa jamii.

👉 Jaza fomu kupitia kiungo hiki:

MUHIMU: Hakikisha unasoma maelekezo yote kwa makini kabla ya kuanza kujaza fomu.

Waombaji wana nafasi ya kuchagua kushiriki katika:

👉Fellowship ya Kipindi cha Pili (Cohort 2), au

👉Fellowship ya Kipindi cha Tatu (Cohort 3)

Programu hii ya PIJ Fellowship inaratibiwa na Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) kwa kushirikiana na International Media Support (IMS) pamoja na JamiiAfrica.

Chukua hatua sasa—boresha taaluma yako na changia maendeleo ya jamii kupitia uandishi wenye tija.

No comments:

Powered by Blogger.