LIVE STREAM ADS

Header Ads

MASHINDANO YA UMISSETA YAHITIMISHWA NDANI YA HIFADHI YA SAANANE

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Mashindano ya UMISSETA ngazi ya Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza, yamehitimishwa kwa kishindo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Saanane.

Mashindano hayo yalianza Jumatatu Aprili 27, 2026 katika viwanja vya Shule ya Sekondari Nsumba na kufikia tamati Jumatano Aprili 29, 2026 kwa kupata timu zitakazoshiriki katika mashindano ngazi ya Mkoa wa Mwanza.
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI

No comments:

Powered by Blogger.