SHIRIKA LA MSI TANZANIA LAWANOA WANACHUO SENGEREMA FDC
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Shirika la MSI Tanzania limetoa semina elekezi kwa vijana katika Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Sengerema (Sengerema FDC) kilichopo mkoani Mwanza, ili kuwajengea uelewa katika masuala mbalimbali ikiwemo afya ya uzazi, afya akili na fursa za vijana kiuchumi.
Mafunzo hayo yamefanyika Jumanne Aprili 28, 2026 chuoni hapo ikiwa ni mwendezo wa shirika hilo kuwajengea uelewa vijana katika vyuo vya kati, vyuo vikuu na walio nje ya mfumo wa elimu.
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI

No comments: