LIVE STREAM ADS

Header Ads

TAASISI YA KAFITI YAWEZESHA WAJASIRIAMALI ILEMELA MITAJI, VIFAA

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Taasisi ya Kafiti (Kafiti Foundation) imetoa elimu ya ujasiriamali kwa zaidi ya wanawake elfu tatu katika Jimbo la Ilemela mkoani Mwanza, huku pia ikikabidhi mikopo na vitendea kazi kwa wajasiriamali. 

Hayo yamejiri Jumamosi Aprili 25, 2026 katika Kongamano la Kafiti na Mwanamke ilililofanyika katika ukumbi wa Malaika Beach wilayani Ilemela.
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI

No comments:

Powered by Blogger.