LIVE STREAM ADS

Header Ads

ZAIDI YA WANAWAKE 3,000 KUWEZESHWA NA TAASISI YA KAFITI WILAYANI ILEMELA

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Zidi ya wanawake 3,000 katika Jimbo la Ilemela mkoani Mwanza, wanatarajia kunufaika na uwezeshwaji wa elimu ya uchumi, mitaji na vifaa mbalimbali vya ujasiriamali kupitia Taasisi ya Kafiti (Kafiti Foundation).

Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa taasisi hiyo, Mapuli Kafiti wakati akizungumza na wanahabari kuelekea kwenye Kongamano la Kafiti na Mwanamke linalotarajiwa kufanyika Jumamosi April 25, 2026 katika ukumbi wa Malaika Hotel wilayani Ilemela. 
Mkurugenzi wa Kafiti Foundation, Mapuli Kafiti.
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI

No comments:

Powered by Blogger.